Wananchi wakataa Uchomaji Mkaa, UfyatuajiTofali, Wafuga nyuki ili Kuokoa Chanzo cha Maji.

Na Mwandishi wetu, Morogoro Wananchi katika Kata ya Kingolwira na Bigwa mkoani Morogoro, wameamua kujielekeza katika Shughuli za Ufugaji wa Nyuki na kuachana na kazi ya Ukataji miti hovyo na Uchomaji mkaa ili kulinda na kuhifadhi Mazingira hususani kwenye Chanzo cha Maji katika Bonde Dogo la Mto Mgolole. Bonde Dogo la Mto Mgolole ni miongoni